Salamu mabibi na mabwana, na walio katikati ya hao wote nawasalimu.
Baada ya kufuatilia mijadala mbalimbali humu jamiiforums kwa miaka mingi sasa Dume Lasimba nimeingia rasmi kuleta changamoto za kifikra.
Tuombe:
"Baba bariki ujio wa Dume Lasimba ndani ya jamiiforums ukawe ni wenye kuleta baraka na amani kwa jamii nzima ya watanzania. Lizaliwe tumaini jipya na wote tuseme Amen"
Amen.