T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Sep 19, 2012 #1 Kwel nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi huyo jamaa mkurungnz ametudharau watanzania ml 50 kwa kudangany umma na zaidi ametutuc ss tunaosubli mikopo natamani kuhamia syria niondoke tz.
Kwel nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi huyo jamaa mkurungnz ametudharau watanzania ml 50 kwa kudangany umma na zaidi ametutuc ss tunaosubli mikopo natamani kuhamia syria niondoke tz.
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Sep 19, 2012 #2 huyu jamaa 'salama bit' kweli analidanganya taifa?