Nimewaza hili🤔

Yoda nishakutumia pm, mi million 2 tu inanitosha kujaza meza yangu ya vijora..!! 😥
Ha ha ha watu wanabeza 10m hawajui inaweza kubadili maisha ya mtu mwenye akili.
 
USHAURI WANGU

Kama kuna mtu ana connection ya kazi aiweke hapa ili vijana wachangamkie fursa,mitaa tunayotoka majobless ni wengi hii itakuwa neema kwao pia

Nawasilisha.
Hivi kule jukwaa la ajira huwa hawapost nafasi za kazi?
 
Sjui nani anipe dili
Tena iwe moja tu yenye akili,
Ile ya kulala maskini na kuamka tajiri
nipeni dili Bwashee….
 
Kiukwlei nimefurahii sana mwanzilishi wa hii mada , maana wengine ni wanafunzii humu tunatamani sana mtupe muongozo na connection za kazii , pesa tutatumia maboom yetu vizurii .
Naomba watu waliosomea uchumi au wa taasisi mbalimbali mtuone wadogo zenu wa mavyuonii ! Mm ni finalist for now!.
 
NSSF hapo nitakudanganya mkuu, labda kwenye pombe zangu nilikutana na wa huko nitakushtua
 
Kwa uzoefu wangu mpaka Sasa kwenye hii Dunia, Walevi ni miongoni mwa watu wenye moyo wa kusaidia,
Ule msaada wa ukweli ukweli
Yeah kwa madogo waliopo serious unawapa mchngo , siku ukifulia hauwezi kosa hela ya bia😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…