Nimewaza hili๐Ÿค”

Hahhaa sipeleki hela kwenye hela, ila huu uzi ni kupeana connection nisije nikajaziwa inbox za hela badala ya connection ๐Ÿ˜…
Mkuu Mimi nipo serious aiseee kama una koneksheni ya kibarua Fanya mambo Mzee maana nikisema kazi nitakuwa muongo hakuna kazi kwa mwenye elimu ya kidato cha 6๐Ÿฅน๐Ÿฅน
 
Mkuu Mimi nipo serious aiseee kama una koneksheni ya kibarua Fanya mambo Mzee maana nikisema kazi nitakuwa muongo hakuna kazi kwa mwenye elimu ya kidato cha 6๐Ÿฅน๐Ÿฅน
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€wewe mwongo I'd yako naona humu zaidi ya miaka 20 unakosaje kibarua?๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€wewe mwongo I'd yako naona humu zaidi ya miaka 20 unakosaje kibarua?๐Ÿ˜ƒ
Mkuu hii ID Ina watumiaji wengi tunarithishana kama ukoo kwa hiyo Leo niliyezamu ni jobless kabisa kwa hiyo mkuu wewe kama una connection wewe niambie tu๐Ÿฅน๐Ÿฅนau Hadi niseme sijala mnichangie hata efu Tano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ