Nimewaza mengi msiba wa Chivayo

labda alikua mtu wako wewe na samia. 🤣 🤣
 
dah, hizi dharau kwa mzee wako kijana ,ingawa umesema ukweli , sasa pambana ,walau watoto wako waje wapate cha kurithi
 
NAMKUMBUKA marehemu harmfrey POLEPOLE
 
Ishi maisha yako we mazafanta,wale watakula na kunywa mpaka wafilie mbari sijui umesahau mtoto wa x President Mugabe alimchapa risasi mfanyakazi wake wa bustani.
Walimkamata wakamrudisha kwao tu.
Kule familia inakesha getini kila siku wakidai" turudishie mwanetu "
Hapo unafanyaje tena?
Interpol wanakuangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…