Binadamu huwa kwa masaa 24 tunawaza mambo mengi sana ndio maana katika saikolojia watu wanasema binadamu wote ni vichaa. Ndani ya masaa 24 lazima kuna wazo la kijinga litakujia au linalochekesha sasa mimi nimewaza hili la kuchekesha.
BABA WA TAIFA-mwl Julius Kambarage Nyerere
BIBI WA TAIFA-mama Maria Nyerere
FIRST GENTLEMAN-mume wa mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan
BRAZA WA TAIFA-Mrisho Jakaya Kikwete
SHANGAZI WA AFRICA MASHARIKI-Mhe mama Samia Suluhu Hassan
SHANGAZI WA TAIFA-bI Fatma Karume
DADA WA TAIFA-Mange Kimambi
BABU WA TAIFA-raisi mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi
MJOMBA WA TAIFA-Nape Moses Nauye