Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

komunisti

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
1,173
Reaction score
1,654
bunge.jpg


Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
 
Mimi sio bunge tuu, mambo yoyote ya kiserikali sitaki kuyafuatilia, sio ya kwamba hayanihusu, la hasha, ila kunihusu huko ndio yatanikwaza nikijua mapuuza.,
 
Usipofuatilia bunge hili la ajabu utajuaje yanayojadiliwa na kupitishwa kama huo mkataba wa bandari? Fuatilia ili uwe na taarifa za kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom