Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
Mimi sio bunge tuu, mambo yoyote ya kiserikali sitaki kuyafuatilia, sio ya kwamba hayanihusu, la hasha, ila kunihusu huko ndio yatanikwaza nikijua mapuuza.,