bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Habari wakuu,
Nimeweka pesa UTT AMIS toka Alhamis wiki ilopita ila mpaka leo salio linasoma sifuri, msaada mwenye kufahamu inachukua muda gani salio kuonekana kwa akaunti tafadhali.
NB: Simu zao zinaiita tu bila mafanikio