Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

Je umevutiwa na PataChumba App?

  • Ndiyo

    Votes: 9 81.8%
  • Hapana

    Votes: 3 27.3%

  • Total voters
    11
Joined
Mar 7, 2020
Posts
43
Reaction score
81
Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa.

Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana kuja kuwa daraja la kuwakutanisha wenye nyumba au vyumba na wapangaji au watu wanaotafuta vyumba vya kupanga!

Kwanza, safari haikuwa rahisi, kuyaweka mawazo pamoja, kudraft content na UI structure.

Namshukuru Mungu kwa kuwa PataChumba App sasa iko mbioni kuzinduliwa na kwa uhakika, kumbe AI inasaidia pakubwa.

​
 
 
Nzuri. Changamoto ni kwenye kushea link kwa watu. Watu wamekariri kwamba domain safe inakuwa na maneno machache. Yakiwa mengi wanahisi ni phishing.

Hapa najishauri, domain ilivyo watu watahisi ni phishing.

Fanya mpango domain iwe simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…