Kelvin John Joseph
Member
- Mar 7, 2020
- 43
- 81
- Thread starter
-
- #21
Nzuri. Changamoto ni kwenye kushea link kwa watu. Watu wamekariri kwamba domain safe inakuwa na maneno machache. Yakiwa mengi wanahisi ni phishing.
Hapa najishauri, domain ilivyo watu watahisi ni phishing.
Fanya mpango domain iwe simple.
ni Uko dasilamu au na mikoani inafanya kazi?Ahsante, ila nategemea uwe mteja namba moja PataChumba.
ni Uko dasilamu au na mikoani inafanya kazi?
Hongera sana vibe coder,endelea kupiga kazi
Nakushauri tafuta njia ya kuendelea kupokea maoni Toka kwa watumiaje na ufanye maboresho zaidi
Mojawapo ndio hii hapa jamii forum,kwa mfano landing page inatakiwa ijibu lengo kuu la app ambalo ni Kupata chumba,hivyo nategemea kuona Search na featuring ads za vyumbaUnaweza kunishauri njia bora ya kupokea maoni kwa ajili ya maboresho.
Mojawapo ndio hii hapa jamii forum,kwa mfano landing page inatakiwa ijibu lengo kuu la app ambalo ni Kupata chumba,hivyo nategemea kuona Search na featuring ads za vyumba
Mfano mim nikitaka kuweka matangazo ya vyumba vyangu nalipia au inakuweje?
Pia ongeza section ya kuonesha available rooms kwa mkoa
Hongera sana sana.
Nakubaliana na mdau aliyesema platform ya kupata feedback ni muhimu 100 perceee.
Niliishafanyakazna na jamaa kwa ajili ya kumpa feedback pekee nashangaa hakunipa hata shkran, alivyotusua, akalala mbele. Kumbuka kutoa sante usiondoke na laana za waja.
Weka Kwenye TikTok inta, Facebook nk kuna people mingi huko. Hapa kuna thinktank wengi pia
HaipoHiyo ipo, fanya survey kwenye app rafiki yangu kisha kama hapako sawa nitext tena.
Haipo
Mkuu umefanya kitu kizuri sana hongera sana..
Safi sana ila kwa Nairobi Kibra ndiyo wapi?Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa.
Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana kuja kuwa daraja la kuwakutanisha wenye nyumba au vyumba na wapangaji au watu wanaotafuta vyumba vya kupanga!
Kwanza, safari haikuwa rahisi, kuyaweka mawazo pamoja, kudraft content na UI structure.
Namshukuru Mungu kwa kuwa PataChumba App sasa iko mbioni kuzinduliwa na kwa uhakika, kumbe AI inasaidia pakubwa.