Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Use chatgp for planning and revie
Sio shida may be marketing strategy kwake imekuwa ngumuWanachuo - Tafuta Nyumba za Wanafunzi Tanzania
Jukwaa la kisasa la kutafuta nyumba za wanafunzi Tanzania. Pata vyumba, apartments na makazi karibu na chuo chako. UDSM, UDOM, DIT, MUST, Ardhi.www.wanachuo.com
Kuna jamaa mmoja tangu last year ana run hiyo.
Sio shida may be marketing strategy kwake imekuwa ngumu
Kumbe hapo sawaHuyo yupo karibu na chuo ana serve Mbeya tu maeneo karibu na chuo.
UI ,yes kwanza tuambie target user wa system Yako ,tujue behavior zao kwa mfano watu wengi wanaotafuta vyumba ni low computer literacy,wanatumia simu