My jitahidi ili ajue, inaonekana ana tatizo sana la kiswahiliTuanze kwenye ku quote
Kama unatumia jf ya application na unataka kumjibu mtu bofya sehemu iliyoandikwa QUOTE
Na kama ni kwa web bofya sehemu iliyoandikwa REPLY
Natumai unajua kusoma mpendwa
Ndio my nitajitahidiMy jitahidi ili ajue, inaonekana ana tatizo sana la kiswahili
ila anaweza akawa anatuchora pia
Mkuu,mpe lift ukamshushe Nyege,Nyege,NyegeziNdio my nitajitahidi
ila anaweza akawa anatuchora pia
Wacha twende nae mdogo mdogoHilo nalo neno my wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pembe za panzi twende nyege nyege nyegeziMkuu,mpe lift ukamshushe Nyege,Nyege,Nyegezi
Kwao Mwanza Nyegezi
Sawa myWacha twende nae mdogi mdogo
😂😂Nakublock nisikuone tena na nyuzi zako za kisengerema punga wewe.
Niripeda sana shure hila nyubani hatukuwa na ela hiviyo nikacha iri nitafute ela ya kuwatyunza wadongo zagu na famiriya yentu?
ItabonyeaNikibonyeyeza itawanje,
Anhaaa, naomba nije PM kidogonyegezi niriwahi kupita wakanti tunahenda sengelema kwa bibi yake mujomba wagu wa itaria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Pembe za panzi bwanaSijawahi kuja uko dada yagu labuda uje wewe niko wiraya ya kuimba.?
Kwimba sehemu gani Bro'Sijawahi kuja uko dada yagu labuda uje wewe niko wiraya ya kuimba.?