Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
-
- #121
Huyu jamaa kaandike kama vile kabanwa na mafua makali sana, yaani nimemaliza kusoma tu nikaanza piga chafya kali sijui kaniambukiza mafua?
Shehe mbona hii kazi mkuu unataka kutupa,umeshaambiwa bonyeza we kazi yako ni kubonyeza mengine utajuwa ukishapabonyeza,ok angalia hii [emoji116]kumjibu mtu bonyeza hapo nilipozungushia kijiduara kisha itakuja kama hii picha ya pili utaandika unachotaka kumjibu hapo nilipoandika kawaida then bonyeza juu pale nilipopazungushia kiduara picha ya tatu ili kupostNikibonyeyeza itawanje,
Kabla hujalala ebu andika hapa vizuri sentence yako hiyo apo juu...Sawaaa nitanjaribu kesho mahana ninataka kulara
Bab kubwa mdogo mdogo utakaa sawa!Sawa nitajaribu kesho maana ninataka kulala hasante sana kaka
Siwezi [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitaumiza kichwa changu bureHaaaaa mkuu Astelia jitolee kumfundisha kiswahili huyu jamaa
[emoji23] [emoji23]Punguza kula sana usiku hadi unavimbiwa. Ndoto zingine zinasababishwa na ulafi hasa usiku.
Punguza kula sana usiku hadi unavimbiwa. Ndoto zingine zinasababishwa na ulafi hasa usiku.
Amekujibu...[emoji23] .mtu huyu ananichekesha mnoZaman piya nirikuwa narara hata jaa hila nawota.
☆Wataramu☆Kila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi
Chizi huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Pembe za panzi bwana
Hahaha asee we jamaa kiboko. Umefanya nipitie nyuzi zako zote nisome comment baada ya comment..Sawa nitajaribu kesho maana ninataka kulala hasante sana kaka