Nimeyakumbuka maisha ya zamani

Nimeyakumbuka maisha ya zamani

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Salaam wakuu,

Aisee nimeyakumbuka maisha ya zamani enzi zile siku za sikukuu kama pasaka na iddi muislamu atamualika mkristo na mkristo atamualika muislamu.

Enzi zile kipind cha ramadhani waislamu wanawaalika wakristo katika futari.

Enzi zile jirani akiondoka Hana wasiwasi juu ya watoto wake kwani jirani typo na atawaangalia kama vile wa kwake,

Enzi Zile wadada wanavaa mavazi ya heshima na Wana aibu mbele ya wakaka.

Enzi zile tulikuwa tukiishi Kwa upendo ,enZi zile za dunia isiyo na machoko... In short nimeyamiss maisha ya enzi zile.
 
Back
Top Bottom