NIMEYAONA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

NIMEYAONA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
515
Reaction score
476
Mpaka naandika uzi huu nimeacha fan langu ndani likipuliza hewa ya ukaa,,, Moto si mchezo nje jua la utosi ndani kaa la moto... Jumapili ya leo kwangu imekuwa ya tofauti sana kwamaana imenilazimu nibarizi kwa kukaa nje angalau nipate afueni...

Mbaya zaidi huku kwetu minazi ndiyo mingi sana na kinachonipa shida na wasiwasi ni hatari ya kukaa chini ya minazi, mana kama hukukoswa na kuti basi nazi..

Bado upo umuhimu wa kuhimizana kuhusu upandaji miti na hasa ya kivuli..
 
Mpaka tutakapoonza kupanda miti ya asili ya eneo husika. Tuache kupanda miti ya ulaya kwenye Maneno yetu. Tuoteshe miti ya maporini mwetu mfano mikuyu
 
378c29aec8ba8e3e330ec1c11172529e.jpg


Kwetu ni shwari kbs
 
Back
Top Bottom