Nimeyapenda matokeo haya!!

Nimeyapenda matokeo haya!!

Mgonasipapune

Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
63
Reaction score
14
Kwa ujumla Kitaifa Matokeo ya kidato cha nne 2012 ni Haya!

Div One ni-1641
Div Two ni -6453
Div Three ni-15,426

Jumla ya Div 1,2 na 3 ni 23,520

Div Four ni -103,223
Div Zero ni -240,903 (60%)


"TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEEEE......."..Nisaidieni kuimba jamani......
 
Mahari zitapungua bei soon

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu nakusaidia kuimba...
"nchi yangu tanzania ... jina lako ni tamu sana..
nilalapo nakuota wewe....."
mwingine aendelee.
 
niamkapo ni heri mama weeee!!
na mwigine apokee kijiti
 
mwanangu ntamfundishia nyumbani hakuna haja ya kuingia gharama za ada,sare na pesa ya kula kila siku halafu naambulia patupu mmmmh kwa upande mwingine tutapata wa kutuuzia viosk vyetu.
 
hahaha hapa wacha tujiandae kuwagegeda tuu hao failures lol na tuwafungulie vibanda vya M-PESA
 
Watanzania wenzangu, hili ni janga kwa Taifa letu, yaani ingekuwa katika nchi za wawajibikaji, leo kawambwa na mulugo wasingekuwa mawaziri kwa kujiudhuru auvinginevyo ungekuta ni baraza zima limejiudhuru. Leo ni siku ya msiba ilistahiri hata bendera zipepee nusu mlingoti. Serikali inastahili kubeba lawama zote katika hili, nafikiri pia matokeo haya yana uhusiano wa karibu na mgomo baridi unaoendelea wa walimu maana serikali inatumia mabavu kushinikiza walimu, wao wanatumia akili zao. Kweli tunakoelekea ni kubaya mno. Nimeishiwa maneno stahili katika hili, ila nimeumia sana na siku yangu haijaend vizuri kabisa.
 
Good work!serikali lazima isikilize kilio cha walimu!unless mwaka kesho ni zaidi ya zero.
 
me nasikitika natavyokua nadunguliwa hela manake utegemezi unaanza sasa.......wote hao wataishije maisha yenyewe haya
 
Mnaotaka uwajibikaji wanaotakiwa kuwajibika ni wanafunzi wenyewe hapa serikali haihusiki hata kidogo taifa la leo halifai kabisa......
 
Wanafunzi wameanguka,
Uchumi umeanguka,
Sera zimefeli,
Serikali imefeli,
Mtaala umefeli,!!!!
 
Mnaotaka uwajibikaji wanaotakiwa kuwajibika ni wanafunzi wenyewe hapa serikali haihusiki hata kidogo taifa la leo halifai kabisa......
Wanafunzi ndo wameshawajibika...unataka wafanye nini ili waonekane kuwa wamewajibika...maana wameonesha kuwa wasimamizi wa elimu yao hawapo siriaz.........
 
Inaonekana hujui unachokisema, wala serikali inavyofanya kazi na kuwa inawajibika kwa nani.
Mnaotaka uwajibikaji wanaotakiwa kuwajibika ni wanafunzi wenyewe hapa serikali haihusiki hata kidogo taifa la leo halifai kabisa......
 
looseball zitakuwa nyingi sana kitaani huu ndio muda mzuri wa makamuzi.aha ha ha haa Tanzania Nchi yangu ya vilaza plus mambulula!!!!!
 
Back
Top Bottom