Gentleman 446
Senior Member
- Mar 26, 2021
- 112
- 407
Utakufwa, you will daaa, utakufwa vibaya wewe nakuhurumiya...vipi wataalamu nikiishia hapa kuna tatizo?
Mh kweli?14 zinatosha acha
icho ndo anachotaka kuskia huyo mdauMh kweli?
Tuache kutishana jamani. Yaami condom ipasuke tu tayari ushaupata!!!? Basi katika watu 10, 9 wana VVU.Ukikutwa + ndo utajua umhimu wa kutumia dose kamili.
Mrudie Mungu wako utaepuka mengi.
Ingekuwa hivyo wengi tungeshaukwaa kitambo sana!Tuache kutishana jamani. Yaami condom ipasuke tu tayari ushaupata!!!? Basi katika watu 10, 9 wana VVU.
Wataalumu wa afya humu ndani wapo lakini ushauri wao unaona kabisa ni wakukatisha watu tamaa kabisa as if wengine wana abc kuhusu vvu na ukimwi kwa ujumla.
Kupata vvu ni mpaka wewe uwe na michubuko kwenye uume ambapo yale majimaji ya ukeni yakikutana na mchubuko hapo taa nyekundu lazma iwake other wise hakuna maambukizj
Vp mkuu La75 zilikusaidia?....nipo kwenye case kama yakoWataalamu wa maswala ya afya njooni mnipe maujuzi apa...
Leo ni siku ya 14 tokea nimeyatimba nilijichanganya kwa malaya mmoja mwezi uliopita katika harakati za mtu mweusi kujipatia utamu condom ilipasuka katikati ya tendo, nilipohisi utofauti haraka sana nikakatisha zoezi na kuwahi kujisafisha
Ukweli ni kwamba amani iliondoka kabisa asubuhi sana nikawahi kuchukua LA75 PEP nimetumia kwa siku 14 na ninatakiwa nitumie siku 28 tatizo ni kwamba najisikia uvivu kwenda kumalizia izo 14 zilizobaki, vipi wataalamu nikiishia hapa kuna tatizo?
Iyo dawa inaonekana inasaidia san mm nmebakiza vidonge 2 toka nianze kumeza nlikutana na bint anatumia dawa za HIV na hakuniambia, nkapig ila dakik 2 tu au 1 na nusu maan nlikua nawah job ko kesh yake nkaambiwa ikabid nipande bugando kwenda kuchukua izo daw, af nikapimwa ko nkaanza mpak leo zmebak vdonge viwilVp mkuu La75 zilikusaidia?....nipo kwenye case kama yako