FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Jamaa atakua anazingua nahisi. Ila kama yupo serious atafute kuna wana uswazi wana maghetto ila hela ya kula hamna hiyo 4000 iwe budget ya msosi wakati wanajipanga na mishe zingine.
unalipa mwenyewe au?Mi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Nenda uwanja wa fisi.Hata chini ya bei hiyo utapata.Kichwa cha uzi kiko wazi!
Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi.
Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar!
Asanteni!
Mwenye kibarua naomba tuwasiliane pia.
Inawezekana hana hiyo hela yote kwa mkupuo!llabda kwa siku katika shughuli zake anatengeneza hiyo elfu 4!,hivyo anahitaji muda mpaka kujipangaGuest 4,000 kwa siku ni karibu 120,000 kwa mwezi. 120,000 kwa mwezi unapata ghetto poa kenye umeme maeneo ya uswazi. Wewe jamaa huko vizuri ila tu ujiamini!
Nenda uwanja wa fisi.Hata chini ya bei hiyo utapata.
Lakini jiandae kukuta kopo la mavi na mikojo chini ya uvungu wa kitanda cha teremka tukaze.
Huyu hela kwa ghetto imevuka kiwango cha uswazi... Hapo ni room safi kabisa maeneo yenye afadhaliGuest 4,000 kwa siku ni karibu 120,000 kwa mwezi. 120,000 kwa mwezi unapata ghetto poa kenye umeme maeneo ya uswazi. Wewe jamaa huko vizuri ila tu ujiamini!
Inawezekana asiwe na hela yote kwa mkupuo,labda ana uwezo wa kupata hiyo buku nne kwa siku ndio maana anatafuta sehemu ya kulala akiwa anaendelea kufanya saving labda apange!Jamaa atakua anazingua nahisi. Ila kama yupo serious atafute kuna wana uswazi wana maghetto ila hela ya kula hamna hiyo 4000 iwe budget ya msosi wakati wanajipanga na mishe zingine.
Mjini auMi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Hizo hesabu za mwezi kawapa nani?Guest 4,000 kwa siku ni karibu 120,000 kwa mwezi. 120,000 kwa mwezi unapata ghetto poa kenye umeme maeneo ya uswazi. Wewe jamaa huko vizuri ila tu ujiamini!
Mpangishe room moja, amekwama huyooo...Mi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Kwaiyo aje aunge tela mkae mtu mbili?Mi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Atakuwa mzinzi tu kaopoa house girl wa mwenye nyumbaJamaa atakua anazingua nahisi. Ila kama yupo serious atafute kuna wana uswazi wana maghetto ila hela ya kula hamna hiyo 4000 iwe budget ya msosi wakati wanajipanga na mishe zingine.
Kalale ubungo stendi bureKichwa cha uzi kiko wazi!
Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi.
Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar!
Asanteni!
Mwenye kibarua naomba tuwasiliane pia.