Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Chumba na sebule vyote vikali vya kisasa kwa hyo pesaGuest 4,000 kwa siku ni karibu 120,000 kwa mwezi. 120,000 kwa mwezi unapata ghetto poa kenye umeme maeneo ya uswazi. Wewe jamaa huko vizuri ila tu ujiamini!
Ujaelewa changamoto aliyonayo jamaa au ?Guest 4,000 kwa siku ni karibu 120,000 kwa mwezi. 120,000 kwa mwezi unapata ghetto poa kenye umeme maeneo ya uswazi. Wewe jamaa huko vizuri ila tu ujiamini!
Conection babaMbagala rangi3 zipo gest za bei hiyo na ni safi (hazina kunguni) ila shart laki ni kuingia saa sita usiku baada ya wazee wa short time kumaliza mambo yao.
Naikumbuka moja inaitwa Deluxe lodge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana.wewe ni mteja maarufu sana hayo.maeneo!Nenda uwanja wa fisi.Hata chini ya bei hiyo utapata.
Lakini jiandae kukuta kopo la mavi na mikojo chini ya uvungu wa kitanda cha teremka tukaze.
Hana hiyo hela kwa mkupuoSasa 4000/= per day ,si Bora utafute ghetto mkuu hata 80,000/= per month ,unakwama wapi hadi utafute guest zenye kunguni bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, basi sasa ila aje hata ghetto kwangu tu tusave costs.Hana hiyo hela kwa mkupuo
Hahaha... hata ungekuwa nayo, bado kuna gharama nyingine za kitanda, godoro, shuka, n.k.Hizo hesabu za mwezi kawapa nani?
Mmekazana kuzidisha utadhani hiyo hela mmenipa. Hela iliyopo inatosha siku 3 au nne. Sasa nyie mmekaza 4,000 x 30. Utadhani hiyo hela mmenipa.
Hahaha,itakua amekusikia,ila anaweza mwezi mmoja akaishi guest huku anasave mwezi unaofuatia anatafuta chumba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atakua mzinzi sioAtakuwa mzinzi tu kaopoa house girl wa mwenye nyumba
Mta save vipi cost wakati kuna mwingine wa 3 atakuja baada ya miezi 9
Maeneo gani?Mi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Duh! TajiriMi nipo Mbeya nimepanga nyumba nzima 150,000. Manake kwa siku 5,000
Hahaha,itakua amekusikia,ila anaweza mwezi mmoja akaishi guest huku anasave mwezi unaofuatia anatafuta chumba
Hahahaha,piga vyombo kijana utajua maeneo yote ya nchi!!