niwaellyester1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 123
- 22
nikifikiria hili ndio nazidi kumuonea huruma mwarabu wa watu,Huyo mumeo analijuwa hilo na ndio maana akakuletea mdogo wake uzae nae.
Najiuliza, kama mbegu zake hazina rutuba, ni vipi mkewe wa kiarabu awe na watoto sita? au wote si wake?
Duniani kuna mambo!
hii story itakuwa ya kweli ,kwasababu profesa kaisi kweli namjua anahusika na magonjwa ya kina mama ikiwemo infertility but ofcoursev saiv amestafu.
possible una pschiatric problem and for sure you need to end this once and 4all na hivyo ulivyoanza kufeel remorse.Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
Mara nyingi kama ulishawahi kuzalisha tatizo linaloweza kukupata linaweza kuwa la kudinda tu na kwasababu mbegu zako ni salama mkeo anaweza pandikizwa na akazaa.Kuna wanaume anatoa shahawa lakini hazina sperms kwahiyo hawezi zalisha,kuna wengine sperms zao hazina nguvu wanapewa dawa na anazalisha.Majimshindo na uporoto mmesahau kuwa kuna watu huwa wanapata matatizo yanayopelekea ashindwe kuzaa.
Inawezekana hao watoto aliwapata kabla tatizo halijamkumba.
mimi namwonea huruma tu mme wake otherwise ningemtafuta huyu mwanamke nimpe mapacha, lol. Inaonekana anapenda sana kudinywa
Hahaha hili neno la zamani sana siku hizi ni nadra kulisikia.Kudinywa! teh!teh!teh!
Kudinywa! teh!teh!teh!
Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
Dah!Kitendo ulichokifanya hakikubaliki ktk jamii za kiafrika,au hao waarabu walipanga wote wakudinye ndio maana jamaa akamuachia nyumba mdogo wake ili mchakachuanè vzuri, wakati unatoa 2nda wala hukuomba ushauri leo kijiti kimekukatikia mara 2 ndio uje kuomba ushauri?
Nawarabu bwana kwa kuzibua mifereji mh sijui kama alisalimika.