nimezaa na shemeji yangu

ukiama kumwambia, uwe tayari kufungasha virago kurudi kwenu ukaanze life afresh, na ujue utakua umemuweka pabaya shemejio. Ila hiyo ndo njia rahisi ya kuwa na piece of mind. Chagua moja, piece of mind au ndoa!
 
we ***** kweli kweli hapo si kama mumeo hajui , anajua kwamba yeye mbegu zake hazina uwezo wa kukuzalisha , na ndio maana hakuulizi mbona hushiki mimba muda wotee tumekaa na wewe. alichoamua ni kukuletea huyo mdogo wake, we useme usiseme mwenzio analijua hilo. kuthibitisha hilo mwambie na hutoona anachukua hatua yeyote zaidi zaidi yeye ndie atakuwa hataki watu wajue.
 
Hii post imenitia kichefuchefu asubuhi.

Haaa?? Umezaa na shemeji na una mimba?? Wanawake wengine kweli mna roho ngumu. Ndo maana wanaume saa nyingine wanatesa.

Looohh sio imeniboa hii post sana huu ni uchafu wa hali ya juu
 
Hii post imenitia kichefuchefu asubuhi.

Haaa?? Umezaa na shemeji na una mimba?? Wanawake wengine kweli mna roho ngumu. Ndo maana wanaume saa nyingine wanatesa.

Looohh sio imeniboa hii post sana huu ni uchafu wa hali ya juu

Hivi desidii, siku ya wanawake si ilikuwa juzi au?
 
Hadithi yako ni ya kichina umeichakachua sana. Ungekuwa mkweli ningekushauri lakini sasa sikuamini. Umeleta habari hii kuburudisha JF tu.
 

Miaka sita iliyopita umezaa mtoto wa kwanza, sasa una mimba ya pili.... Huyo mdogo mtu kakwambia atakuoa?
Akili kumchikwa dada...
 
Yesu unarudi lini??????????????????

:A S 13:
 
Jamani nimesoma koments zenu nawashukuru kwa wale walioninanga na wale walionionea huruma mimi na mme wangu.Nataka kufafanua mambo yafuatayo kwanza mimi ni mke wake wa ndoa wa 2 mkewe wa kwanza anaishi uarabuni.Prof Kaisi alituambia kuwa mme wangu mbegu zake zimeharibika maana alimfanyia sperm count na alisema kuwa ziliharibika kutokana na kunywa sana konyagi,kuhusu watoto kwa mke mwenzangu wale ni wake maana anafanana nao sana tu.

Niliposhika mimba ya kwanza nilimwambia shemeji yangu na yeye akawa amenogewa sana ikawa tunafanya tu mara kwa mara na nilkuwa nimefundishwa kuwa ukibeba mimba ya jamaa ni lazima umpe aikomaze sasa ikawa nampa amkuze mwanae.

Shemeji alipopata kazi marekani ambapo anafundisha chuo kikuu cha illinois kaskazini alikuwa anakuja likizo anafikia hotel mie naenda huko tunado tena na alinikaribisha kwake marekani nikaenda huko nikaishi kama mkewe kwa miezi 3 na ndipo nimebeba mimba nyingine.

Sijui mme wangu anawaza nini maana anajua kuwa ana tatizo na wala hajaniuliza kabisa kuwa nimezaaje na wala hajamkataa mtoto na anampenda sana.

Wakikutana na mdogo wake wanapendana sijawahi kuona,yaani huyo shameji yangu cum mzazi mwenzangu juzi kamletea kaka yaje bonge la gari.

sasa nasikia kuwa anaoa huyo shemeji na mie hapo ndipo itakuwa mwisho ila nataka anizalishe mtoto wa 3 ndipo tuache

gaya jamani huo ndio ukweli
 

weye ni zaidi ya shetani,peleka kwa mashetani wenzako U-turn watakusaidia cha kufanya maana hata sisi tuso na dini umetuzidi mizungu:hand:
 
Majimshindo na uporoto mmesahau kuwa kuna watu huwa wanapata matatizo yanayopelekea ashindwe kuzaa.
Inawezekana hao watoto aliwapata kabla tatizo halijamkumba.

Hilo linawezekana lakini kama nimeielewa post vizuri, baada ya mumewe kushindwa kuzaa nae kwa miaka sita, akazaa na mdogo wake na sasa anataka kuongeza mtoto mwingine, sasa huyo mumewe hajauliza huyu mtoto wa kwanza kapatikana kivipi? kama hajauliza ndio nafikia kusema kuwa huyo mumewe anayajuwa hayo na kaona asimnyime mkewe raha ya kupata mtoto na akafanya mpango mdogo wake aje amzalishe.
 
ama kweli dunia uwanja wa fujo kila na lwake dada andaa mikakati ya kuangalia wanao maana hapo umelikoroga lazima ulinywe
 

Utakosanisha ndugu wewe!!!! na unatafuta tabu baada ya miaka 20 ya raha.
 
Wanawake tuna mambo ila hilo lako funga kazi!. Nadhani haina hata haja ya kutubu kwa mumeo maana utamuua bure baba wa watu......inaonekana hukumpenda ulipenda mali zake tu....... hustahili kuendelea kuwa kwake u beta run away maana hata yeye an moyo wa nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…