Nimezama katika kina kirefu cha mapenzi

Nimezama katika kina kirefu cha mapenzi

Mbosso nimependa vile umepromoti nyimbo yako huku JF
Wish I Had Such Talent in my Ammo.....

Nyimbo siwezi kusema kwamba ni the best (kuna nyingine bora zaidi)

Ila acting kwenye huu wimbo na unavyobadilika / transition verse ya pili from sadness to happiness amejitahidi...

Tukirudi kwenye swali langu la msingi (ndio maana post sijaiweka kwenye entertainment nimeweka huku kwenye mahusiano, mapenzi na urafiki)..., Huyu Jamaa amepotea...., au ndio amefika / amepata - Yaani kwake yeye leo yako ni bora kuliko jana yake ?
 
Back
Top Bottom