Nimezama kwa changudoa!

changu nae ni binadamu tu, ingawa amechagua njia mbaya ya maisha kama jambazi vile
 
Niliipenda heading, kumbe stori hazikuhusu mwenyewe!
Ni sawa na kusafisha kikombe nje halafu ndani kichafu, mtu anaremba heading halafu ndani stori za kusadikika. Halafu wewe mleta thread umeoa au unataka wanaJF wakupe baraka za kuoa CD?
 
hata kama haimuhusu mshauri jamani. inawezekana pia inamuhusu yeye ila hajataka kusema.

ok, ushauri wangu ni huu: Changudoa ni mwanamke kama wanawake wengine, anahisia sawa na wengine, ni binadamu kama wengine. Tofauti ya changu na malaya ni biashara tu. Ukimuoa mwanamke malaya watu waliompitia wanaweza kusema kama waliwahi kumpitia na stori itaisha tu. Na kwa changu itakuwa hivyo hivyo.
 
Ni sawa na kusafisha kikombe nje halafu ndani kichafu, mtu anaremba heading halafu ndani stori za kusadikika. Halafu wewe mleta thread umeoa au unataka wanaJF wakupe baraka za kuoa CD?

Stori nadhani inamhusu mtoa mada, ila kwa kuona haya kajaribu kupindisha ionekane anamsaidia jamaa.
 
Yupo Fit 6/6 in every sphere na anajua kujitunza huo mwili wake.

Hivi kuwa fit kwenye 6x6 maana yake ni nini hasa? Ni kwamba kila ufanyapo matusi na mwanaume uki-cum ndiyo utamhesabu kuwa yuko fit kwenye hayo mambo?
 
Hivi kuwa fit kwenye 6x6 maana yake ni nini hasa? Ni kwamba kila ufanyapo matusi na mwanaume uki-cum ndiyo utamhesabu kuwa yuko fit kwenye hayo mambo?

changu ni sawa na mchezaji kiraka. Kila namba anafit. Hachagui mwanaume zaidi ya Naira. Sasa hapo kama na wewe utamweka ndani kazi kwako. Being smart and clean for changudoas is a part of markeng strategies.
 
unawaza kutumia masabuli au?

Mkuu punguza makali ya maneno, Jf ina members wengi wenye mtazamo usiofanana. This shows how Jf seems rich with people of different characters and behaviors, and different vies and opinions. Vumilia mkuu.
 
Stori nadhani inamhusu mtoa mada, ila kwa kuona haya kajaribu kupindisha ionekane anamsaidia jamaa.
au hadi nikuletee kitabu chenyewe ili uamini?
 
Hivi kuwa fit kwenye 6x6 maana yake ni nini hasa? Ni kwamba kila ufanyapo matusi na mwanaume uki-cum ndiyo utamhesabu kuwa yuko fit kwenye hayo mambo?

Ngabu ni wazi kua wanaume maumbile yamepishana... ni wazi kua uwezo wa kiwango katika hiyo sector imepishana pia... Hivo such a woman haijalishi kwamba you as a guy upo kiwango gani ki maumbile ama ki-game; if she falls in love with you she will make sure kua atakuonesha in which ways to give her pleasure mpaka a-cum... Yaani in short mwanaume hana wasi wa kuridhika na kuridhisha huyo mpenzi wake...
 
au hadi nikuletee kitabu chenyewe ili uamini?

kuna thread moja yenye heading "nimeishiwa na nguvu za kiume". Unaweza kudhani mwanzisha thread ndiye mhusika kumbe siye!
 
We ni noma
 
ndugu we oa tu, hakuna matatizo kabsaa, atakupenda balaaa
 
changudoa sio mwanamke wa kuoa kwanza hana akili mvivu wa kufikiri matatizo ya dunia kaamua kutatua kwa mwili... huyo hata ukimuoa akikumbana na changamoto za maisha bado atatumia mwili...hafai hata kiduchu achana na huo mzimu utakuletea laana katika maisha yako (na assume mtoa mada ndo mhathirika).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…