Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
- Thread starter
-
- #21
Niitieni Natafuta ajira na Zemanda waje bila kumsahau Kyagata na mbaga jr ila mshana nitamwandikia special thread!!Pambana nae tu usiogope.
SawaNipe namba ake nikusaidie
"Umejitunza kwa miaka kumi........" khaaa huyu nae mtoto wa kiume, Jando kweli ni muhimu.Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu
Ndiyo kaka the time to enjoy mbususu niliutumia nikiwa shule"Umejitunza kwa miaka kumi........" khaaa huyu nae mtoto wa kiume, Jando kweli ni muhimu.
Harmful kama jina lako namba haupewi ng'oNiitieni Natafuta ajira na Zemanda waje bila kumsahau Kyagata na mbaga jr ila mshana nitamwandikia special thread!!
Sawa
Kwa maelezo yako. Wewe ni kweli ni mtu wa kutojiamini. Na huna msimamo juu ya machaguzi yako au maamuzi yako.Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu
Sasa wewe huoni yeye ndo ataniumiza maana ashazipuliza nyeti zangu tayariAccidentally ukimaanisha nini?
Kumuacha ni kumuacha Tu,ukishaona unaaza kumuwekea vipengele mara single mama mara Sio bikra jua Moyo wako haujamzimikia kihiivyo kifuatacho ni kumuumiza Tu!
ChatgptKwa maelezo yako. Wewe ni kweli ni mtu wa kutojiamini. Na huna msimamo juu ya machaguzi yako au maamuzi yako.
Ona umejitunza mda mrefu kama ulivyosema, lakini sasa umezama kwenye penzi la single mother lakini bado kama vile unajiuliza uliza au unajutia, yani kifupi hujielewi. Hujui kama umeamua kweli au Lah
Haaaaaaaaaah
Noooo, never.Chatgpt
Uchonganishi
Asante kwa miongozo na ufuatiliaji wako kwanguKtk maisha kama kijana uliyopo 20s au 30s avoid single mothers .
Single mothers sio wanawake hata wa kutembea nao achilia mbali kumuoa hao watu ni mipira iliyokufa kama haujui kuipiga itakusumbua sana .
Waachie watu wenye miaka 50 au wagane as a young guy don't date single mama
This is unspoken rule haijaandikwa popote ila testimony 99% zinaonesha hao watu wanaharibu maisha ya vijana na kuleta chaos
Ktk maisha kama kijana uliyopo 20s au 30s avoid single mothers .
Single mothers sio wanawake hata wa kutembea nao achilia mbali kumuoa hao watu ni mipira iliyokufa kama haujui kuipiga itakusumbua sana .
Waachie watu wenye miaka 50 au wagane as a young guy don't date single mama
This is unspoken rule haijaandikwa popote ila testimony 99% zinaonesha hao watu wanaharibu maishaUnazungumzia mahusiano ya aina gani?
kuwa specificNataka nimtag Mahondaw
Nataka nimtag mahondaw