Nimezama kwenye mapenzi na single mother

Ni Jambo la kawaida watu waoga kukimbilia mipira iliyokufa.

Wanaume waoga, waasiojiamini, wasio na pesa, ni nadra Sana kutoka na Mwanamke aliyekwenye prime yake.
Hata usipoonyesha hivyo ndivyo inavyotafsirika.
 
Vijana bado hamjayajua maisha , sasa usipokua na pesa hao watoto wa single maza utawalea vipi
 
Vijana bado hamjayajua maisha , sasa usipokua na pesa hao watoto wa single maza utawalea vipi

Kwani hawana baba yao? Hilo swali waulize waoaje wa single mother.
Maana wao wakiona misambwanda na kunona kwa single mother akili Yao inaishia hapo.

Unapozungumzia Single mother unazungumzia mzigo mara mbili. Kujiunga na familia iliyoanza
 
Ukiingia kwenye relationship na mindset ya kuthibitisha kitu, utaishia kuharibu kila kitu , including huyo single mom.

She’s not your experiment, ana maisha yake, ana mtoto, ana expectations zake.

So ,jenga confidence yako kwanza, elewa unataka nini, halafu chagua mwanamke kwa akili, sio kwa panic ya kukosa experience.
 
Unayo NIDA?
 
Baba mtakatifu unaenda kuwa baba wa kambo 😹😹

Huyo single maza atakupasua kichwa inatakiwa aolewe na single daddy..!!

Mambo ya kuanza mechi mwingine kashatangulia na goli BIG NO 😹🤣
 
Kwanza ukiingia kwenye penzi na mtu hutangazi,ni siri yako,ni raha yako,ni utamu wako,kula raha,mengine yaje utayasolve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…