​Mie ni mteja wa BANK moja hapa mjini, mwaka jana jamaa yangu alinilipa pesa kwa njia ya inter bank money transfer kiasi cha 5000USD , matokeo yake bank wakai double ikawa 10,000USD,Mie baada ya hapo nikaitoa pesa yyote baada ya miezi 4 Bank walinipigia simu kwamba nirejesha pesa mie nikawaambia nimezitumia wakasema niende ofisini kujieleleza, mie sijaenda mpaka leo. Sasa niende au nisiende na kama nikienda nikajieleze vp? pesa nimetumia zote!