Nimezidishiwa pesa kwenye akaunti ya bank.

kidodosi

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
2,306
Reaction score
1,404
​Mie ni mteja wa BANK moja hapa mjini, mwaka jana jamaa yangu alinilipa pesa kwa njia ya inter bank money transfer kiasi cha 5000USD , matokeo yake bank wakai double ikawa 10,000USD,Mie baada ya hapo nikaitoa pesa yyote baada ya miezi 4 Bank walinipigia simu kwamba nirejesha pesa mie nikawaambia nimezitumia wakasema niende ofisini kujieleleza, mie sijaenda mpaka leo. Sasa niende au nisiende na kama nikienda nikajieleze vp? pesa nimetumia zote!
 
Weye kazi unayo. Muda wa kulazimishwa ukifika utajuta. Nenda kajieleze kwamba umetumia. OK?
 
ukienda cha kwanza unawekwa rumande kwa wizi huku ukisubiria kesi yako
 

Kumbe ni wewe tulikuwa tunakusaka sana sasa umeturahishia kazi
 
waambie wao ndio waje wajieleze kwako
 
kama una tu akiba hiyo a/c kwangu twoooote then nyuti
 
huwezi tumia kitu usichostahili mkuu kitaalamu wanaita "unjust enrichment" unless otherwise there are other exception...but if they send you to the court of law find a good advocate there are some technicalities of law which can be applied to justify your act
 
You are as free as her majesty queen of great britain. chochote kwenye akaunti yako ni haki yako. hayo ni makosa yao wala siyo yako. wala uciende kwao. kwanza wakikusumbua you can sue them kwa usumbufu usio wa lazima
 
Hil ni jambo la kawaida kutokea katika mabenki na hali hiyo kitaalamu inaitwa "over crediting or over debiting"
Kama kukuongezea pesa na benki ambazo hauzistahili inaitwa overcrediting au kutoa kiasi cha pesa na ukazidishiwa deni inaitwa over debiting
Haya ni makosa ya kawaida ya benki na kibenki ila katika makosa huwa tunawajibu kisheria either impliedly au expressly
Kama mteja unatakiwa kutoa taarifa kwa jambo lolote ambalo silo la kawaida katika account yako( implied)
Kama banki anatakiwa kutoa taarifa kwa makosa yaliofanyika kwa mteje mwenye account husika
Cha kufanya kama wajibu wako kama mteja haujatendwa basi unawajibika kulipa kwa njia ya makato kila unapoingiza pesa katika account yako au banki kufungua mashitaka endapo kuna default
Defence ni Acting in good faith by the customer on the use of such credit
Bank wajibu wake ni debit kila credit inayoingia ktk account tajwa!!
Hivyo basi kama ulitumia pesa pasipokujua unadefence subjective to proof au unaweza kurudulisha kwa makato as an overdebitted account
Cha msingi busara huitajika ila km hutaki na unaweza kuprove ur innocence proceed untill suit instituted!! But unawajibu wa kutoa taarifa kwa lile usilolijua ktk account yako...so unamakosa ila yanaweza kutibika kwa a bona fide acts!!
I stand to be corrected and hence i submit!
 
Hawa mabenki saa nyengine wanamchezo mchafu wanaucheza. Kuna kitu nilikisoma katika banking, situation kama hii huna kosa wewe, kwa kweli nishasahau concept ikoje
 
ndugu mbona unajipalia makaa kiasi hicho kwanini uilitumia pesa uliyozidishiwa ambayo haikuwa yako
nenda hapo bank kajieleze kwani yatakayokupata hapo baadaye yatakuwa makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…