Nimezielewa sana Honda Cross Road

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
336
Reaction score
564
Gari aina ya Honda Crossroad ni aina ya gari inayotokea kunivutia sana kutokana na Muonekano wake, nafasi ndani ya gari ya Engine safi na hata Ground Clearance fasi kwa barabara zetu za huku Madongo kuinama. Hii ni gari yangu ya Nne baada ya Toyota IST, Nissan Wingroad, na Yoyota RAV 4,

NB: Mwenye Honda Crossroad aliye Interested kuanzisha Social media Club ya gari hizi ili kuchat kuhusu Fahari,Changamoto Upatikanajibws Spare za aina hii ya gari sambamba na Kupanga Camping Trip ya pamoja karibu kwa comment hapa au Inbox tuyajenge.






 
The only thing ambacho ni kibaya kwenye hiyo gari haina spare tyre.

Hapo tu.

Otherwise kila kitu kiko poa.
Nimecheki ushuru naona wa kawaida sana. Ingawa CIF kidogo imechangamka ila me najua Dar mafundi wapo. Hii nayo ipo kwenye to-do list ya 2022/23.

Prius, Crossroad, Impreza G4, Audi A3/4, na lile C series za 2009 kuja juu aisee.
 
Nimecheki ushuru naona wa kawaida sana. Ingawa CIF kidogo imechangamka ila me najua Dar mafundi wapo. Hii nayo ipo kwenye to-do list ya 2022/23.

Prius, Crossroad, Impreza G4, Audi A3/4, na lile C series za 2009 kuja juu aisee.
Hizo gari walizitoa kutoka 2007 wakaishia 2010 af ni kwa domestic market tu.

Hajauza market zingine.
 
The only thing ambacho ni kibaya kwenye hiyo gari haina spare tyre.

Hapo tu.

Otherwise kila kitu kiko poa.
Badala ya Spare Tyre kwenye hii gari nimekuta wameniwekea Portable Air Pump kwa ajili ya kujazia tyres upepo ukipungua na Tyre repair Kit ili kukusogeza unapoweza pata huduma ya msingi.👍
 
Badala ya Spare Tyre kwenye hii gari nimekuta wameniwekea Portable Air Pump kwa ajili ya kujazia tyres upepo ukipungua na Tyre repair Kit ili kukusogeza unapoweza pata huduma ya msingi.[emoji106]

Baba tupe ABC za hii gari maana hata mimi naielewaga sana nikiiona road ila sijajua kama inamirikika kirahis au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…