Nimezielewa sana Honda Cross Road

Sidhani ata kama anaijua kishumundu itakua jina limemchanganya, nihatua chache za miguu kutoka moshi mjini.
 

Mzee hiyo ndinga mpaka sasa unaionaje maendeleo yake?
 
Kaka natamani kununua hii gari please kama upo dar naomba nichek ata niione tu na unipe ushauri namba yangu 0712432619
 
16mil mkuu
 
 
MARA YA KWANZA NILIIIONA HII GARI ARUSHA,,nikajisemea moyoni hii gari ni...
.....naomba niishie hapo
 
Ni rahisi kuitengeneza sababu katika hiyo miji ni rahisi kupata professional people walioko kwenye gereji za Hali ya juu japo itakutoka hela but matengenezo yapo sasa wewe unakaa katavi ,mtwara ,kishumundu utajuta kama ugonjwa WA kisukari
Duka la spare la Prashant mtwara nadhani Kuna hiyo mikoa uliyoitaja hawalifikii Kwa upatikanaji wa spare
 
Canada wanapenda Sana Honda
 
Duka la spare la Prashant mtwara nadhani Kuna hiyo mikoa uliyoitaja hawalifikii Kwa upatikanaji wa spare
Prashant ana kila kitu,Hakuna anachokosa hapo Mtwara

Zile garage za Mistry garage au kule bandari gari zote za serikali zinafanyiwa service huko

Mtwara kuna watu wanapiga rangi gari mfano kuna jamaa anaitwa Madengelu kule sokoni juu juu yupo vizuri sana

Prashant anaagiza vitu toka nje na ana duka kubwa sana Dar pia la spare

Hayo ni mambo ya miaka ya 2011 nikiwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…