Nimezimia tangia Jumapili iliyopita ndo nazinduka sasa hivi!

Nimezimia tangia Jumapili iliyopita ndo nazinduka sasa hivi!

mpuyango

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
60
Reaction score
68
Jumapili nilisinziaa kanisani bana[emoji18]nimelala wee mara nikasikia jirani yangu ananimbia pembenii! "Mpendwa amkaa!!" Nikasikiaa na mchungajii uko!! "NYANYUKAA!!" Nikasimaama watu wote wakapigaa makofi[emoji122][emoji122][emoji122]
Mchungaji: oooh asante sana haya mwinginee anaetoaa million 2 kama mchangoo wa shughul za kanisaa??[emoji15][emoji15]

Nilizimiaa ndo nimeshtuka sasa hivi [emoji18][emoji18]
 
Hahahaaah pole yako. Tafuta hiyo pesa uchangie kanisa
 
Ndo utajua kilichokupeleka kanisan n.kulala au kusikiliza neno kama kitanda home hamna ndo utajua wenzako pesa wanatoa wap
 
Back
Top Bottom