Nimezitafuta sana hizi nyimbo mbili zaidi ya miaka 10

Nimezitafuta sana hizi nyimbo mbili zaidi ya miaka 10

george aloyce

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
1,302
Reaction score
2,023
Nyimbo ya kwa ni ya
DEO MWANAMBILIMBI INAITWA MKE NI NDUGU AU RAFIKI

nyimbo ya pili ,
HII NYIMBO NI YA BUSHOKE INAIMBWA HIVI WATU WENGI WALISEMA HUYU MSICHANA NI MTU ANAEMILIKIWA NA MTU MWENYE WADHIFA MKUBWA MASIKIO YG YALIZIBA KWA VILE NILIMPENDA SIKUJUA KAMA BUSHOKE NITAKUJA ISHIA SEGEREA

mnisamehe kwa uandishi wg mbaya ila naombeni msaada wenu hizo nyimbo nazihitaji sana
 
Back
Top Bottom