Kuna kitu hakipo sawa.Hii inaonyesha dhahir kwamba wafanya biashara wana nguvu zaidi ya mamlaka
Mie ipo ,kimaraWazee nimezunguka mitaa kadhaa ya Kawe na Mbezi Beach na maeneo mengine ya karibu na hayo Dar es Salaam kwa ajili ya kutafuta sukari lakini sijafanikiwa kupata kwenye maduka yote niliyoenda.
Kwani hii hali ipo pia mitaani kwenu?
Sukari iko wapi kwani? Au baada ya Serikali kuratibu zoezi la bei elekezi ya sukri ndio sababu ya kupotea sukari mitaani?
Wafanyabiashara ndio wabunge wapo mjengoni.Hii inaonyesha dhahir kwamba wafanya biashara wana nguvu zaidi ya mamlaka