Asarareeeeeeee,
Unajua wakishakalia madaraka hujawa na dharau na viburi visivyo na msingi wowote hii ndio hulka ya binadamu alieshiba huwa hakumbuki kama jana alipata shida.
Kwanza huko nje hakuna pesa ya Bure wanayopewa zote ni zina mashart au riba kubwa au riba ndogo au riba ya muda mfupi au riba ya muda mrefu.
Sasa watu wamekuagiza ukakope kwa niaba yao leo ukirudi unakutana na wale walipaji watakaolipa lile deni unawaelezea kwa dharau kwamba vijipesa wakati hao walipaji wakati wa kulipa wataongezewa kodi hadi kwenye vyakula na vifaa vya ujenzi hii sio sawa.
Viongozi wajitathmini na siku wananchi wakielewa kwamba hali ngumu zote wanazopitia zinatokana na sera mbovu za viongozi hao sijui itakuaje.