GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani
Ushauri bomba!!!"Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani"
There are several possibilities:
1. Kama ni "pangapanga," basi huyo akikuona tu mwili umamuwasha na anatamani ukam-do.
2. Kama amekuona unaweza kuwa na mshiko wa nguvu, basi anaforce namna ya kukupata ili awe karibu nawe akukamue.
3. Kama amekuzimia, basi huyo kakuzimia kikwelikweli. Hadi mdada aseme kuwa anakutaka lazima atakuwa amekuzimia kwa sana tu. Kawaida yao huwa hawasemi, wanasubiri kuanzwa.
Ushauri: M-date/mtoe nje (lunch, dinner, kuangalia mechi, drinks etc) several times uone mwelekeo wake ukoje.
.Umesema yupo kwenye sehemu ya kutoa service lakini hujasema ni service ya aina gani kuna ofisi nyingi hutoa huduma zinazotolewa na wengi ili kuvuta wateja huongea nao vizuri na hata kutaniana nao usije umeelewa vibaya.Na pia hiyo service isije kuwa massage au wale wakinadada wa scrub saloon,wale kazi zao zinalazimu kuongea/cheka/taniana na wateja ni ofisi ya aina gani ? sijauliza jina la ofisi.
Asante ila sidhani kama ni changu, changu si utamjua. Nyie wanawake tatizo lenu mnapenda kwa moyo, na hilo husababisha kutovumilia kuweka kitun kama hicho moyoni ndoo maana mnajisahau hadi mnaachilia vitendo voiongee. Lakini si wezi kwenda haraka.Yaani mara nyingi mdada akikupenda ni ngumu kukutamkia kama mwanaume, vitendo vinaongea kaka.... TAKE CARE WHILE ASSESSING THAT.....
Angalia anaweza akawa changu au ni rafiki mzuri.... TAKE TIME KUMCHUNGUZA KAKA KAMA UKO SINGLE,,,, Kaka married achana nae maana asije kukuharibia ndoa yako babu wee!!!!!
Kweli kabisa, kazi ipo???, tatizo letu tumezoea kulianzisha, wakilianzisha hata kama ni la ukweli linatuduwaza.
.mbona jibu unalo tayari?
wewe unakwenda kununua service kila mara
hivyo mdada anajua wewe unaomshiko wa nguvu
hivyo anataka akunase msaidiane kula huo mshiko.
kama huamini basi nawe siku mmoja nenda kisha umsifu
kama alivyokusifia umwambie "amependeza kama anakuja
kuolewa nawe" uone jinsi unavyotakiwa ku-react ukiambiwa hivyo-
.Kwanza kwa kuweka kwake loud speaker inaonesha ni mpuuzi sana; na kukuonyesha kuwa soko lake liko juu sana. Angekuwa ame-hold simu kwa ajili yako sawa lakini kuweka loud speaker - that is bullshit. Je, hiyo loud speaker sio recorded kweli? Wewe umeoa? Mwambie unataka kumshughulikia na sio kwa ajili ya life time relationship. Je, ni wangapi anawafanyia vibweka kama anavyokufanyia wewe? Sasa na wewe u-launch investigation kuhusu yeye! Na ndoa nyingi unazoziona uanza vivyo hivyo.
.Huyu dada kakupenda na anatamani uwe wake forever and ever ndo maana kakwambia umevaa vizuri kama unaenda kumuoa.
Mwambie ukweli kama unamuheshima kama dada yako na si vinginevyo ataacha vituko vyake
Thanks, mawazo mazuri ,Please get time kumjua huyo dada vizuri, anakaa wapi, ndugu zake ni akina nani, marafiki zake, ameolewa au ana mchumba, au kama ana rafiki mwingine wa kiume na hata afya yake!!!!!!!!!!!!!! Naomba usiwe na haraka maana haraka haraka haina baraka na siku zote utaishia pabaya ukiwa na haraka