H HARD TALK Member Joined Jul 10, 2011 Posts 13 Reaction score 1 Jul 26, 2011 #41 Kijana mtumie kupunguza tamaa zako 2 za kimwil kwisha usiumize kichwa na kimaadil achana nae endelea na maisha
Kijana mtumie kupunguza tamaa zako 2 za kimwil kwisha usiumize kichwa na kimaadil achana nae endelea na maisha
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Jul 26, 2011 #42 njozi ni nini? zaweza kuwa ni matukio yaliyopita au hisia ya matukio yajayo.........................sasa unapasua kichwa kwa nini?
njozi ni nini? zaweza kuwa ni matukio yaliyopita au hisia ya matukio yajayo.........................sasa unapasua kichwa kwa nini?
F Fideline JF-Expert Member Joined Mar 4, 2011 Posts 234 Reaction score 124 Jul 26, 2011 #43 Mashizo nina wasiwasi kama utaweza kumaliza masomo yako!!! Sisi tumekupeleka nje uje utusaidie sasa kama unashindwa kuchambua mambo madogo kama haya tukueleweje???
Mashizo nina wasiwasi kama utaweza kumaliza masomo yako!!! Sisi tumekupeleka nje uje utusaidie sasa kama unashindwa kuchambua mambo madogo kama haya tukueleweje???
MAVUNO JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 791 Reaction score 655 Jul 26, 2011 #44 Achana nae huyo sio wako, utalia