Nimfanyeje huyu dada?


Thanks Jestina. Taken
 
ngojea ngojea tu ila mali yya bahili ulliwa na................................ alfu wenzako wana bandu bandu, wanamaliza gogo ww umebaki nyoka la kibisa, ila shake well b4 use @ ndoa na usisahau DAWA YA PENZI
 
hawa madada wana tabia hizo, wakiona unashangaashangaa wanaanza kuleta mapozi na unaweza ukamegewa na wengine, we mchakachue tena ikiwezekana apate mimba then mapozi yote kushnei.
 
atakuwa anakuona kama msichana mwenzie ndio maana anakuletea pozi.
 
Gonga then angalia ustaarabu ,utaumizwa zaidi usipoangalia.
 
Kaka hayo mambo mwanzoni ulimwachia mungu kwa kubase katika dini na kuamua kusubiri vipi tena wataka kuyatoa kwake uvumilivu umekushinda? Mie nahisi ni majarib 2 ya kuvunja agano lenu. Kwanin kitu cha kwanza kuwaza ni labda kwa sababu ujazin nae? Angalia vitu vingine ambavyo vinaweza kuwa vipo pia. Agano ni promise usivunje.
 
Panda GROUND 4 NIJE NIKUAMBIE
<br />
<br />
 

Nashukuru mkuu, ushauri wako nitauzingatia
 
Endelea kusubir huku wenzio wakimega.kesho utakuja kuomba ushaur et nadharauliwa kumbe we ndo....utajua mwenyewe
 
Subiri Yako Ndio Itakuponza, Ngoja Ngoja Utaonekana Zoba....

Mapozi mtoto yuko kwa heat mzee, hapo akitokea rijali mmoja ni kushika tu mkono na kwenda kubandua wakati wewe unangoja ndoa. Changamkia mama watoto yako chap chap mangi ohooo
 
uko nae mwaka na huja gonga? Ndio maana anakuletea mapozi, ashaona we sio!
 
Nina jamaa yangu alikuwa na ana itikadi kama zako, demu wake wamempiga mimba miezi michache iliyopita, we endelea kuzubaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…