Pole, ulitakiwa kumuelewesha mapema kuwa bosi wako ni mwanamke, pia anaweza piga simu kwa issue za kiofisi.Lakini kwa kuwa imeshatokea tafuta adhabu kali ya kumpatia
Nami nina mashaka na huyo bosi mwenyewe, anapiga simu kabla hata hujatoka (naamini muda utakuwa ni alfajiri ya kutosha tu), kwani ulisema hutaenda kazini siku hiyo? Au anaomba umsaidie kununua vitafunio on your way?