Nimfanyeje huyu

<br />
<br />
hapana c kweli brother, me nipo imara hakuna mambo ya kitoto hapa.

Mkuu hapo anatafuta njia tuu ya kukutoa kwenye track na ile kukuambia wazi kuwa amekuchoka inakosekana
So analeta habari za age
 
Aaah msikute jamaa ana mambo ya kitoto sana anambore
<br />
<br />
we umenena! Mwanamke akipewa kazi ya uhakika huwa anasahau mambo mengine yoote.mwaka wenyewe mmoja ? hebu jamaa ajitafakari mambo yake ya ulingoni
 
achana nae
halafu kachkue jimama la kuanzia 50 hivi
halafu uwe unatesa nalo live
wazi wazi hivi
ili akome kujishaua .....


mh...! ushauri mwingine bwana... Unaua bendi.
Kwa wanawake wengi tumejijengea kasumba kuwa ni lazima mwanaume awe mkubwa (kiumri), ila kiukweli mapenzi hayachagi umri. Ukiona hivyo ujue penzi lake kwako linafifia. Jaribu kuongea naye, ukiona hakuelewi anza kujisachi mapema, kwani ipo siku utapata mshangao kwa kugundua kumbe yuko na mtu aliyemzidi umri.

Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…