Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!