idadi imenitisha mwenzio. Au na wewe unao 10?Kwahiyo we ladywho ulitegemea asiwe hata na msichana wa kupozea hata kama ni mmoja wakati wewe unakiri kuwa uko naye mwaka mzima lakini hujawahi kumpa. Kwa kifupi hakuna mwanaume wa hivyo unless ana kasoro. Kilichokusaidia hadi ukajua yote hayo ni kwa sababu umepekua kila mahali. We endelea naye tu kama kweli unampenda,ila kama walivyoshauri wengine uwe unambana lakini pia uwe unampanulia vinginevyo atarudia makoloni yake tu. Usibane sana dada yangu, hiyo kitu wanaume tunaipenda mno. Mwanaume yeyote (aliyefiti) hawezi kuvumilia mwaka mzima, ikishindikana kabisa hata Ohio ataenda.
Nina wasiwasi na kauli yako kwamba "Hukuwa umepanua paja". Kwa hali ilivyo sasa, ni very rare watu kukaa hata mwezi mmoja wakiwa hawaja-make love, na ukizingatia huyo jamanaa ni fisadi wa mapenzi. Cha kukushauri kapime ngoma maana takwimu zinaonyesha mtu mmoja kati ya 10 hapa nchini ana ngoma. Na wewe ulikuta meseji 10 katika simu yake akichati kingonongono na wasichana tofauti. Hii ina maana kama amewala wote peku tayari atakuwa amekanyaga miwaya achilia mbali ambao alikuwa hajachati nao siku hiyo.Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Nina wasiwasi na kauli yako kwamba "Hukuwa umepanua paja". Kwa hali ilivyo sasa, ni very rare watu kukaa hata mwezi mmoja wakiwa hawaja-make love, na ukizingatia huyo jamanaa ni fisadi wa mapenzi. Cha kukushauri kapime ngoma maana takwimu zinaonyesha mtu mmoja kati ya 10 hapa nchini ana ngoma. Na wewe ulikuta meseji 10 katika simu yake akichati kingonongono na wasichana tofauti. Hii ina maana kama amewala wote peku tayari atakuwa amekanyaga miwaya achilia mbali ambao alikuwa hajachati nao siku hiyo.
Love until it hurt, and when it hurt Love some more, when it hurt love even more..........Love until it hurts no more.....................
kampime ukimwi kwanza, halafu mwambie akajitambulishe kwa wazazi rasmi kuonyesha yuko siriazi.
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Huyo anakusumbua kwa sababu hujamfunulia paja. Mfunulie uone atakavyosepa, mwanaume kama hajapata yuko radhi hata akupigie magoti hata akurambe na mchozi juu ukimtoka, ngoja apate ndio utaona rangi zote.
Ila fuata moyo wako mama.
nashaanga!! wakati cku hz ukikaa na mwanamke wiki 2 hujaomba ANAKUACHA.Hili nalo neno mkuu....., Mwaka mzima hajachakachuliwa.....?!
Na mimi nilichoandika kinakuhusu nini? au unaona wivu 2 jamaa anaVIBURUDISHO 10 ....hlf ww ht malaya wanakukatalia.sa we yanakuhusu nin mkuu,achakachuliwe/acchakachuliwe ni yeye mwenyewe na ki2mbua chake.