kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mwanaume kamili anatakiwa kuweka fonts za kwenye simu za aina ganiFonts ulizoweka zinaku define ni mtu wa aina gani
Hao wasichana wanaochati na viingereza vya shortcut bado una mazoea nao basi yatakukuta mkuu... Kuwa na mahusiano na wanawake sio wasichana hao wa Lol, xme ,9t., K, p,Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
Zikoje mkuuFonts ulizoweka zinaku define ni mtu wa aina gani