Nimjibu nini huyu?

Kama ni mpenzi wako mtumie. Kama ni rafiki unaempenda mtumie pia,ila muulize ana shida gani na hiyo pesa.
Kutoa ni moyo
 
Alafu simu yako ni ya lini mbili... unabana matumizi, ndiyo maana huna hela...

Kwa mazuri aliyokua nayo mwanamke elfu20 ni ndogo sana akikuomba...


Cc: mahondaw
 
Khaaaa umeamua kumuabisha shost wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…