mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Wakuu habari.
Kuna ka binti ka kigogo ninekatoke juzi kati. Kakaniambia nikape wiki katanijibu. Nilivyokua nakachulia ni kama ka wife material hivi. In short niko kwenye kutafuta chaka langu la milele.
Sasa bwana nimesubiri hio wiki huku nikijitahidi kuwa romantic kwake kuongeza ushawishi. Sasa jana ndio iliku siku ya kupata majibu yangu. Nikakapigia sim hakakupokea, baadae kakanitext "nitumie sms". Mmh, tukaanza kuchati. Basi wakurungungwa nilitumiwa hizi sms mbili hapa chini.
Jaman masponsor mnatuharibia wake zetu watarajiwa. Sasa iv wanawaza kuhudumiwa tu na sio kujenga familia. Kama mnawahudumia hakikisheni mnawaoa kabisa.
Wanaume wenzangu hali ikoje huko, mmewahi kutana na hii? Yaani sharti la kukubaliwa anakuchana live umhudumie? Kwa uzoefu wangu, hata wale wa mizinga huwa hawatuambii live hivi. Utaona vizinga tu. Na nilichotegemea kwake kama angekua bint mwenye akili basi angenipa shart la kwenda kwao tufuate taratibu. Ningerukaruka kinoma ningemuona anaakili. Ila kwa hili natafuta chaka lingine hadi nikutane na mke wangu. Mm siko kwenye kampeni ya kupinga ndoa. Hawa wapinga ndoa ndio wanatuongezea single mother huku mtaani.
Sasa wakuu sijakajibu hadi sasa. Vip jamani nijilipue? Au itakula kwangu?