claramasawe
Member
- May 16, 2020
- 37
- 40
Sijafikia kwenye VAtHiyo 18% ni VAT utailipa TRA. Usikubaliane naye itakuletea shida kwenye makadirio ya Kodi utaonekana umefanya kazi sana wkt sio kweli.
Upo nje ya madaWewe unafanya biashara gani
Namaanisha risiti ya Milioni kumi inaweza kusababisha upandishiwe kiwango cha kodi unayokatwa iwapo utaitoa.
Ata mim nawafanyia ivo maneberuMbona zinapatikana mtaani, nilikuwa nafanya hiyo michezo wakati nafanya retirement kwenye makampuni ya mabeberu
Nimekuelewa lakini hawaangalii kiwango vha risiti bali wanaangalia total income ya mwakaNamaanisha risiti ya Milioni kumi inaweza kusababisha upandishiwe kiwango cha kodi unayokatwa iwapo utaitoa.
Mkuu usiwaze sana,kama anahitaji hiyo risiti kweli nitafute tuile hiyo helaSasa asiponipa hiyo 18% na kazi sijafanya mimi faida yangu itakuwa wapi huoni nitaongezewa kodi hata kama sintafika kwenye VAT?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa asiponipa hiyo 18% na kazi sijafanya mimi faida yangu itakuwa wapi huoni nitaongezewa kodi hata kama sintafika kwenye VAT?
Sent using Jamii Forums mobile app