Nimpe lishe ya aina gani mwanangu aweze kurefuka?

Mziwandawamama

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
1,303
Reaction score
939
Habari za leo wanaJF.

Mimi ni mzazi na mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja, ningependa kujua nimpe vyakula/ lishe ya aina gani mwanangu ili apate kurefuka kwa harakaharaka na kupata mwili kidogo?

Napenda sana mwanangu awe mrefu.

Asanteni sana..
 
Ww height yako ikoje? Na ya mkeo pia itaje. Urefu unarithiwa kutoka kwa wazazi au ndugu wengine ila kwa kuongezea mfanye awe mwana michezo haswa basketball na pia apate protein kwa wingi sambamba na kupumzika wakati wa mchana.
 
Genetic matter kama kwenye familia mnazo toka hakuna mrefu .. Aisee inaweza kuwa bahati mbaya akiwa mrefu
 
mlishe BIG Gee/ BABLISH kwa siku × 3..
 
kama waliomzaa huyo mtoto ni wafupi, ni kawaida ila kama nyote ni warefu sio kosa lenu wala mtoto, ila ni kosa la mababu na mabibi zake
Ushauri…
Mpe BIGIJII/ Au Bablish 3 kutwa × 6.. atarefuka tu..
 
kama shida ni urefu tu...akapimwe kwanza homoni husika kisha anaweza akachomwa sindano la ku-stimulate homoni za kumfanya arefuke mpaka utashangaa
 
kama waliomzaa huyo mtoto ni wafupi, ni kawaida ila kama nyote ni warefu sio kosa lenu wala mtoto, ila ni kosa la mababu na mabibi zake
Ushauri…
Mpe BIGIJII/ Au Bablish 3 kutwa × 6.. atarefuka tu..
hahaaaa asante mkuuu
 
Ww height yako ikoje? Na ya mkeo pia itaje. Urefu unarithiwa kutoka kwa wazazi au ndugu wengine ila kwa kuongezea mfanye awe mwana michezo haswa basketball na pia apate protein kwa wingi sambamba na kupumzika wakati wa mchana.
me-170 na ke-162
 
Ukishindwa kumrefusha mwili wote basi mrefushe kiungo kimoja tu cha mwili-kama me- ili ajenge heshima mtaani.
 
1. Urefu ni "subjective term " kwako urefu ni mita ngapi?!
2. Lishe inamsaidia mtoto kukua vizuri, ikijumuisha ukuaji wa mwili na akili.
3. Vinasaba navyo vina nafasi kubwa hapa ktika kumfanya mtoto kuwa na kimo stahiki
4. Hizo hormones ambazo ni stimulants huwa zinatolewa in special cases. kwako bado haijawa special case kwa sababu ni matamanio yako na bado huyo mtoto hajaonyesha kuwa na tatizo la ukuaji.

Note: kuwa makini na ushauri unaopewa humu, maana kuna hatari ya kumsababishia mtoto madhira ambayo hakuzaliwa nayo.

Ushauri: mtu ni zaidi ya kuwa mrefu.
I am praying that you be a good mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…