Nimpeleke wapi?

Nimpeleke wapi?

CDO

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Wana jf nna mdogo wangu aliyemaliza primary mwaka 2011,kwa sasa umri miaka 20(a boy)..alifaulu mtihani ila wa kumuendeleza akakosekana,kipndi hko mm nilkuwa JKT nastrugle ckuweza kumcompany..nimeajiriwa miez mitatu ilopita hapa dar(magereza) najiuliza nimpeleke wapi ajiendeleze kielimu na umri wake huu? Nae hataki kusoma ila anataka veta,..na elimu yake ya std 7 inawezekana kweli? Au nimsave vp?Nipeni wazo jamani.
 
mdau CDO wazo lake la veta ni zuri kwani ataweza kupata ujuzi fulani MAPEMA zaidi. Wengine wamekuwa wakisoma veta pamoja na elimu ya secondary ya miaka miwili.
 
mdau CDO wazo lake la veta ni zuri kwani ataweza kupata ujuzi fulani MAPEMA zaidi. Wengine wamekuwa wakisoma veta pamoja na elimu ya secondary ya miaka miwili.

Mdogo wangu hataki kabisaa suala la vidato....hapo ndo ananimaliza.Zngne lawama ndugu yang cjui nimsaidie vp.
 
Usipoteze mda,mpeleke veta akapate fani na atafute ajira chapu,maisha yanasonga. Si lazima ufike form four ndo ufanikiwe zaidi ni ubunifu,na elimu kidogo ya mambo ya fedha then dogo anang'aa uso!
 
Hata VETA ya sasa hivi akitaka atakutana na hao hao wa vidato University na atawasumbua sana sababu ya experience, ni kwamba watu wengi hamjajua na hamuamini, utaratibu umeboreshwaa sana kwa uhakika kuna uwezekano kabisa mtu kufika University bila kidato chochote aidha O or A level
 
Ndugu mwanajf swali lako la wapi umpeleke mdogo wako mimi ushauri wangu ni kwamba umpeleke sekondari ya binafsi. Ukitaka ushauri wa shule ipi inafaa apelekwe nipigie simu Na. 0754-269067.
 
Back
Top Bottom