Nimpende nani...

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Habari zenu waungwana wakubwa na wadogo.
Leo nimeamua kuja na swali langu kwenu akina dada, nauliza nimpende nani ambae anataka apendwe na mimi???

Najua wengi wenu humu wanajua ham ya kuwa na wapenzi lakini hawajabahatika kuwapata na wakainjoi akili yao.
Kwa ambae atakua na uhitaji kama was kwangu afunguke.
Iwe hapa au pm maana hapa sina mtu ambae niko nae.

Wakikujua hapa itapendeza sana, ila kama unataka usijulikane nawakaribisha pm...cha mdeko fursa hiyo.
Maswali na majibu tukutane chumbani.
Karibuni...
 
nyinyi mabinti ndio wa kumkumbusha labda alisahau...au hana kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti au hana! Kuna mtu hana sifa? Nimemuelewa vyema, yuko jukwaa la chit chat hivyo anachangamsha genge
 
hahaha kwa hiyo ameamua kutangaza nia kijanja sio?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muulize sasa mwanamke gan atamfata pm kama ameshaandika cha mdeko kuna fursa labda wale wasiolijua hilo jina wakazan anataka kudeka kama huyo aliyewahi siti alivyoccoment
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti au hana! Kuna mtu hana sifa? Nimemuelewa vyema, yuko jukwaa la chit chat hivyo anachangamsha genge
wapo wasio chagua ujueπŸ˜€πŸ˜€....wao yeyote kwao sawa tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muulize sasa mwanamke gan atamfata pm kama ameshaandika cha mdeko kuna fursa labda wale wasiolijua hilo jina wakazan anataka kudeka kama huyo aliyewahi siti alivyoccoment
πŸ˜€πŸ˜€kumbee sasa nimeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…