Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
-
- #21
Chagua mmoja
Pendeza toto moja zuri apoFanya venye unaona moyo wako unapenda
Ok ila nataka aache poz Za kuchelewa kupokea simuchukua maserat
mbona silioni kwenye kamba?Lemba nimelifua halijakauka mkuu
aaaaaaah my baby amka Sasa nikupe raha ya asubuhMmmh. Hapana
Usiwasikilize wanga twende zetu regacy nitakupa kiss kwenye lift afu mshedede kwenye majiWe mie kibonge kama chupa Kubwa la coca cola. Mnakodanganyana ninashepu kama jokate shauri zenu.
Madame s mambo nakukubali[emoji124][emoji124][emoji124]
Madame S
Rubii umeacha kuimba mtt mzur napenda ngoma zakoMpende akupendaye
Aaaaaaah uyo mtt mtam anakiuno kimegawanyika akinipa shoo siachi hata mfupaEmmyta kashakuwa prince[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]duh
Sent using Jamii Forums mobile app