Nimpigie Au nimkaushie ??

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404

Nilikutana naye kwenye daladala nikavutiwa nae tukabadilishana namba za simu, kutokana na ubize wa kazi nikajikuta wiki imepita bila kumpigia wala yeye hakunipigia. Asubuhi moja naamka nakutana na ujumbe huu kutoka kwake; "Hivi namba yangu ulichukua ya maonyesho au?"

Je nimpigie au nikaushe?
 

Wavulana wa Dar bwana, bure tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…